Zaidi ya vijana 1,500 wakutana Morogoro kwa Vijana Uongozi Forum
Vijana kutoka vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu kote Morogoro walijadiliana na viongozi kutoka serikalini, wanataaluma, sekta binafsi na asasi za kiraia kuhusu uongozi wa kimkakati, mageuzi ya kidijitali, ujasiriamali, uzalendo na hatua za tabianchi.












